3 Bedrooms House for sale at Kibaha, Pwani






#NYUMBA_NZURI_SANA_INAUZWA
MAHALI KIBAHA PICHA YA NDEGE
UKUBWA WA KIWANJA SQM 700(30*25)
NYUMBA TAYAR INA UMEME NA MAJI
UMBALI NI KM 1 TU KUTOKA BARABARA KUU YA MOROGORO ROAD
NYUMBA IPO KWENYE MAZINGIRA MAZURI
BARABARA ZAKE NI NZURI
NYUMBA IPO NDAN YA FENS YA WAYA
NJE KUNA SPACE KUBWA IMEBAKI UNAWEZA KUJENGA MABANDA KAMA NI MFUGAJI AU KUFANYA CAR PARKING
#SIFA_ZA_NYUMBA
VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SITTING ROOM KUBWA
DAINING KUBWA
JIKO
STOO
PUBLIC TOILET
BEI TSH 70/=MILLION
SITE VISIT 30000(hii itadumu mpka utakapo Pata nyumba kwetu)
☎️ #0757208653