3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA FAMILIA INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO UMBALI WA DK  7 MWENDO WA MIGUU KUTOKA KIMARA MWENDOKAS TERMINAL. 
SIFA ZAKE -
zipo Apartments nne ndani ya fensi na kila moja inajitegemea Maji Dawasa pamoja na umeme. 
Vyumba  3 vya kulala kimoja master bedroom kibwa.
Sebule. 
Jiko.
Public toilet 
Tails 
Gypsum 
Madirisha Aluminium 
Ndani ya fensi Peving Parking space kubwa. 
๐ฐKODI ni laki  300,000 /=
Kwa mwezi. 
Malipo miezi sita na Malipo ya dalali mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba. 
Kuona nyumba elfu 15,000 /
PIGA SIMU #0625606710๐ wahiii



















