Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA MBEZI MWISHO MALAMBA MAWILI (UBUNGO MUNICIPALITY).
Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master, Dinning, Sitting, Kitchen&Public Toilet
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Eneo Limelasimishwa Tayari Hati Inatoka Kwa Jina La Mnunuzi)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 650
Umbali: Meter 200 Kutoka Barabara Ya Lami (Kinyerezi Road)
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo
Bei : 95 Million (Maongezi Yapo)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000 /=
#0785889413
#0785889413ππππ‘π _π΄πππ²π²
#0754589413π₯π₯π₯π₯