Plots for sale at Kibaha, Pwani

 media -1
media -1
Sh. 1,000,000
Project
Yes

Viwanja Vilivyopimwa Vinauzwa Kibaha Misugusugu karibu Sana na Barabara kubwa ya Lami,Yani mita 900 toka lami Yani Kwa ujumla ni Km2.5 Toka Morogoro Morogoro Road.

Viwanja hivi tunaviuza Bei rafiki Sana,Yani shilingi 8500/= Kwa mita za Mraba! Ukubwa wa Viwanja ni Kuanzia 400m² hadi 1016m²

Utaratibu wa Malipo ni rahisi sana! Yani unalipa shilingi 1,000,000/= malipo ya Awali Kisha kiasi kinachobaki Kinalipwa kidogo kidogo ndani ya Mwaka Mmoja yaani Miezi Kumi na Mbili.

Kila Mwezi shilingi 200,000/=

Kuja kuona na kukagua site ni kila siku Kuanzia Jumatatu hadi Jumapili! Muda Kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 12 Jioni.

Viwanja vyote ni tambarare hakuna kabisa kilima wa bonde,ni mkeka kamili kamili ndugu mteja wetu mpendwa. Ukinunua Kiwanja kwetu ni Uhakika,Yani ni amani ya kutosha,hakuna majuto ni Raha Tu! Wote mnakaribishwa! Yani kwetu ni Furaha tele,sio makasiriko. Huduma kama umeme na maji vipo site Kwa Majirani.

Ofisini: Kibaha Madafu,Kiluvya Madukani na Mbezi Kwa Msuguri.

Mawasiliano
0659 972 868
0763 172 814

Cananland Marketing Solutions
dar_kubwa_remmysbrand
Cananland Marketing Solutions

Similar items by location

Plot for sale at Kibaha, Pwani

Sh. 15,000,000

KIWANJA KINA UKUBWA WA SQMT 832HAT MILIKI YA WIZARA YA ARDH IPOMAHALI #KIBAHA MAILIMOJA PANGANI BEI ...

1 Bedrooms House for Rent at Kibaha, Pwani

Sh. 300,000

NYUMBA INAPANGISHWAMAHAL KIBAHA PICHA YA NDEGEUMBAL KM 1.5 KUTOKA MOROGOROSIFA ZA NYUMBAVYUMBA V3 VY...

Plot for sale at Kibaha, Pwani

Sh. 27,000,000

KIWANJA KIPO UMBAL WA KM 1 TU KUTOKA MOROGORO ROADMAHAL KIBAHA PICHA YA NDEGE KIMEPIMWA NA KINA HAT ...

1 Bedrooms House for sale at Kibaha, Pwani

Sh. 63,000,000

#NYUMBA INAUZWAMAHALI #KIBAHA PICHA YA NDEGEUKUBWA WA KIWANJA (30x40)NYUMBA TAYAR INA UMEME NA MAJIU...

3 Bedrooms House for sale at Kibaha, Pwani

Sh. 43,000,000

NYUMBA INA UZWA KIBAHA MAILI MOJA BADO FINISHING NDOGO NDOGO KUMALIZIWA TU------SQMT 400------SERVI...

4 Bedrooms House for sale at Kibaha, Pwani

Sh. 68,000,000

NYUMBA ZINAUZWA KWABEI YAKUTUPWA KIBAHA MJINI MWANARUGARI ENEO LINA UKUBWA WA HEKALI1 MOJA1 INA VYUM...

Plot for sale at Kibaha, Pwani

Sh. 58,000,000

#INAUZWA IPO KIBAHA MAIL MOJA VYUMBA V3 KULALA K1 MASTER,SEBLE,JIKO,DINNING NA CHOO PUBLICUKUBWA WA ...

3 Bedrooms House for sale at Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 60,000,000

NYUMBA NZURI SANA INAUZWA BEI POAAIpo mkoa wa Pwani Kibaha madafu Nyumba ni ya vyumba vitatu kimoja ...

1 Bedrooms House for sale at Kibaha, Pwani

Sh. 40,000,000

NYUMBA INAUZWAMAHAL KIBAHA MAILIMOJAUMBAL WA KM 3 TU KUTOKA MOROGORO ROADUKUBWA WA KIWANJA SQMT 400(...

3 Bedrooms House for sale at Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 40,000,000

NYUMBA INAUZWA BEI POAAINA VYUMBA VITATU VYA KULALA,KIMOJA MASTER,JIKO,SEBULE, PUBLIC TOILET, IPO KI...

3 Bedrooms House for sale at Kibaha, Pwani

Sh. 50,000

NYUMBA NZURI YA KISASA,VYUMBA 3,TSHS.58 MILIONI. KIBAHA.Hii nyumba ipo umbali wa kilomita 3 kutoka B...

3 Bedrooms House for sale at Kibaha, Pwani

Sh. 50,000

NYUMBA YENYE VYUMBA 3, TSHS.60 MILIONI TU., KIBAHA-MADAFU. Na hii ni nafasi yako nyingine......MADAF...

Plot for sale at Kibaha, Pwani

Sh. 900,000,000

PLOT NZURI SANA KWA MATUMIZI YA MAGODWN,KITUO CHA MAFUTA,NKPLOT IPO KIBAHA PICHA YA NDEGEUKITOKA MAI...

Plot for sale at Kibaha, Pwani

Sh. 45,000

𝗨𝗞𝗜𝗛𝗜𝗧𝗜𝗝𝗜 𝗞𝗜𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔 𝗕𝗔𝗦𝗜 𝗡𝗜 𝗞𝗜𝗕𝗔𝗛𝗔 𝗕𝗢𝗞𝗢 𝗠𝗡𝗘𝗠𝗘𝗟𝗔..!🔥Eneo: Kibah...

Plots for sale at Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 5,000,000

📍KARIBU KIBAHA KWA MATHIAS..!!!📍HAPA KIWANJA UNALIPA KIDOGO KIDOGO📍HAPA UNAPATA VIWANJA VIZURI KA...

House for sale at Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 30,000,000

NYUMBA INAUZWA BINAFSI LOCATION: KIBAHA picha ndege PWANINyumba ina vyumba vi3, kimoja self, sebule,...

Plots for sale at Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 9,000,000

ENEO LINA BANDA LA VYUMBA VIWILI LINAUZWAMkoa wa pwani kibaha msufini Umbali takribani km 4 toka mor...

Plot for sale at Kibaha, Pwani

Sh. 40,000,000

INAUZWA KIBAHA PANGANI DAR###VYUMBA V2 KULALA K1 MASTER,SEBLE,JIKO,DINNING NA CHOO PUBLIC NDANI YA F...

2 Bedrooms House for sale at Kibaha, Pwani

Sh. 40,000,000

House For Sale:Location :: Kibaha PanganiBei yake :: 40mlEneo sqm 600Muundo wa nyumba;🌡️Vyumba viwi...

House for sale at Kibaha, Pwani

Sh. 95,000,000

INAUZWA KIBAHA MAIL MOJA YENYE SIFA HIZO###INA HATI YA WIZARA(Clean tittle deed)****VYUMBA V3 KULALA...