Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent nzuri kali mpya mpya kabisa
Location kimara mwisho km 2 usafiri bajaji na boda
Kodi 180000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja cha kulala
Sebule
Public toilet ya ndani
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo
Paving block
Parking space fency
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128