Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


𝗛𝗔𝗣𝗔 𝗞𝗨𝗡𝗔 (250,000 × 3) 𝗻𝗮 (370,000 × 3) 𝗠𝗕𝗘𝗭𝗜 𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗦𝗨𝗚𝗨𝗥𝗜
APARTMENT NZURI YA KISASA ZINAPANGISHWA
#ZIPO_ZA_AINA_MBILI_TOFAUTI
SEHEMU 'A'
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#STORE
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 370,000/= × 3
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY KODI YA MWEZI MMOJA)
📌 ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 15/12/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO
SEHEMU 'B'
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA
#HAKUNA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO
#PUBLIC TOILET YA NDANI KWA NDANI
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 250,000/= × 3
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI CAUTION MONEY KODI YA MWEZI MMOJA
📌HII SEHEMU 'B' IPO WAZI TAYARI
💫💫 APARTMENT HIZI ZIPO MBEZI KWA MSUGURI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2
USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA ZIPO MUDA WOTE
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300