Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA MBEZI MWISHO NJIA YA GOBA
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO 
#VYUMBA 2 VYA KULALA 
#KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM 
#SEBULE KUBWA 
#JIKO KUBWA LA KISASA [OPEN KITCHEN]
#PUBLIC TOILET 
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA 
#PARKING 
BEI NI 400,000/=×3
💫💫 APARTMENT HII IPO MBEZI MWISHO NJIA YA GOBA UMBALI WA DAKIKA 7 KWA MGUU KUTOKA GOBA ROAD
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15
#0625606710



















