Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







MPYAA MPYAAA MPYAA KABISA UNAZINDUA MWENYEWE
KODI 200,000X6
CHUMBA MASTER SEBULE
CHOO CHA PUBLIC
JIKO LINAWEKWA MAKABATI
UMBALI KM 1.5
BODA BODA 1000
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA FULL PEVING BLOCKS
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANA FLOW NDANI
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
ITAKUWA TIYALI KUINGIA KUANZIA TAREHE 1/10/2025
KUONA NA KULIPIA LUKSA
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIM0677445508
WSP