Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO 3 KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO
#CHOO CHA PABILIKI YA NDANI
# NAKIBALAZA CHAKO
UMEME UNAJITEGEMEA
MAJI DAWASCO BILI YANAFLOW NDANI
USICHOKIJUWA APO KUNA LISEVU TANK
# NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI KASOLO GETI
#LOCATION MBEZI KWAMSUGURI KM 1 USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI 500 TU
UKISHUKA DK 2 UPO GETINI PK PK 1000 KUTEMBEA KWA MIGUU DAKIKA 15,20 TU
#π°BEI NI 150,000, KWA MWEZI MALIPO MIEZI 4,5,6
Service Charge 15,000
#0625606710π wahiii