Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


(120,000X5)MBEZI KWA MSUGULI, BAJAJI 700, BODABODA ELF MOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZULI YA KISASA INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI 
SIFA ZAKE 
NI CHUMBA MASTER NA JIKO 
UMEME UNAJITEGEMEA 
MAJI YA KESHEA BILI WA NNE
NYUMBA NZURI BALAAAA
BEI NI 120X5 ILIPWE LAKI NA ISHIRINI KODI YA MIEZI 5 NA KUENDELEA  Service Charge 200,00 Kuona nyumba 
KUTOKA MOROGORO ROUD 2 USAFI UPO WAKUTOSHA BAJAJI 700
BODA 1000
KUJAKUONA NYUMBA NI ELFU 15 UKIIPENDA UTAMLIPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA 
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453




















