Kiwanja kinauzwa Kimbiji, Dar Es Salaam


KIWANJA KINA HATI,SQM.966,TSHS.9 MILIONI TU, KIMBIJI CHAUREMBO.
Hiki Kiwanja kipo umbali wa kilomita 1.5 tu kutoka mahala kilipo Kituo cha Daladala CHAUREMBO.
Kutoke FERI ukishuka unavuka na kupanda pikipiki,
wastani wa Dakika 5 kufika eneo la Kiwanja.
Ukubwa SQM.966
Umiliki ni HATI (Title Deed) Mpyq ya Wizara.
Eneo zuri tambare na linalofikika kiurahisi misimu yote.
Ukiwahi tunakupunguzia Bei.
_________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
________________WlSng


















