Kiwanja kinauzwa Kimbiji, Dar Es Salaam




๐ฃ Wawekezaji! Hii ndiyo nafasi ambayo hujitokezi mara nyingi!
Kiwanja cha Kimbiji Ngobanya kinapatikana kwa bei ambayo huipati sehemu nyingine.
โ๏ธ Sqm 20,000/= Cash
โ๏ธ 22,000/= Installment โ malipo mwaka mzima!
โ๏ธ Umbali ni mita 800 tu kutoka barabarani
Haijalishi unanunua kwa matumizi yako ya baadaye, makazi au uwekezaji โ
Hiki kiwanja kinakua thamani kila siku.
Usikose nafasi yako leo!
๐ +255 653 988 825
๐ธ oneroof_real_estate_company



















