Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


BEI MILIONI 13 
________ BEI IMESHUKA MWENYE NAYO ANAYE UZA ANA  SHIDA 
_________
  NYUMBA INAUZWA  IPO MBEZI MWISHO NJIA YA KUELEKEA KINYEREZI
_________
KITUO DALAJANI  UKISHUKA TU KWENDA KWENYE NYUMBA KUTEMBEA DAKIKA 7 HADI
KWENYE NYUMBA
_______
SIFA ZA NYUMBA IJAISHA BADO KUPAUA TU  YANI UNANUNUA MBAO MABATI 
______ 
INA VYUMBA VYA KULALA VITANO 5  SEBULE CHOO NDANI
_______
UKUBWA WA KIWANJA MITA  20 KWA 10
_______
HUDUMA ZA KIJAMII ZOTE ZIPO UMEME MAJI 
WW NI KUVUTA TU
______
KUPELEKWA KUONA 25000
CALL 0784810004
  0779646072




















