Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


Plot kubwa inauzwa ipo Mbezi Beach jirani na Rainbow
- Ni plot ya pili kutoka baharini
- Plot size: 4,560 sqmts
- Ina hati miliki safi
- Panafaa kujenga apartments, villas, hotel au nyumba ya makazi
- Bei USD 1 Million