Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


(250,000 Γ 6)MBEZI KWA MSUGULI...UKIONA HII PIGA SIMUπ₯
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA 250K X 6
π₯ APARTMENT HII INASIFA KAMA IFATAVYO
#VYUMBA VIWILI 2 VYAKULALA
π₯π₯#VYOTE NI MASTER
#SEBULE
#JIKO KUBWA LAKISASA
#CHOO CHA PUBLIC
#STORE
#LUKU INAJITEGEMEA YENYEWE
# NA MAJI DAWASA METER YAKE
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#NYUMBA INA (ITA)
#NDANI YA FENSI
#CAR PARKING
ποΈAPARTMENT HII IPO MBEZI KWAMSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5
UKIPANDA BAJAJI SH 500 BODA 1000 MPAKA KWENYE NYUMBA
π° BEI NI 250K X 6
ILIPWE LAKI 2 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
NB INAKUWA WAZI TRH 25/4 KUJA KUONA NAKULIPIA LUKSA
ππNJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
ββββββββββββ
KUPELEKWA SITE ELF 15
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
ββββββββββββ
CONTACT:
0654101710
0787205300