Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







KODI 200000K X6
APATIMENTI ZIPO MBEZI KWA MSUGURI
UMBALI WA KUTOKA BARABARANI KILOMITA 3
HADI KWENYE NYUMBA
USAFIRI BAJAJI 1000
BODA BODA 1500
SIFA YA NYUMBA
CHUMBA SEBULE KUBWA CHOO NDANI
JIKO
KODI K X6
NYUMBA IPO WAZI
KUPELEKWA KUONA 15000
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MMOJA
UMEME KILA NYUMBA INAJITEGEMEA
MAJI YA KUSHEA
SIMU
0712656027
KARIBUNI WADAU