Nyumba inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA MBILI NDANI YA KIWANJA KIMOJA ZINAUZWA
0759128747 } { 0624436503
0712058357 } { whatsapp
NYUMBA ZIPO MBEZI MPIGIE MAGOE
KILA MOJA NI ARPATIMENTI CHUMBA NA SEBULE JIKO NA CHOO YAKE ZIPO 4
ENEO SQM 600
BEI MIL 90
WAWEZA KUCHUKUWA MOJA KWA MIL 45
NYUMBA KALI SANA
HATI MAUZIANO SELIKALI YA MTAA
DALADALA MIA 700
KARIBU SANA MTEJA