Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







HOUSE/ YENYEWE KWENYE FENCE INAPANGISHWA MBEZI MAGARI SABA
Vyumba 3 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko dinning na public toilet 
Kodi 650,000 kwa mwezi × 6
Umbali km 1 kutoka kituoni kwa mguu dakika 15 boda boda 1000
Inajitegemea kila kitu fence na parking ya uhakika
Kupelekwa kuona nyumba elfu 20
PIGA SIMU 
0713661530_0783661530




















