Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
BEI NI 250,000/= X 6
π₯ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
ββ HAKUNA JIKO ββ
#KIBALAZA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#PAVING
BEI NI 250,000/= X 6
π«π« APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH 500 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO
0713 636000
π₯ KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA