Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO 
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA 
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA 
#PUBLIC TOILET 
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA 
#PARKING
#ZIPO APARTMENT 4  KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA 
#GARDEN
BEI NI 250,000/= X 6 
💫💫 APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 TUU USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA 
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
#0625606710🏠wahiii




















