Viwanja vinauzwa Madale, Dar Es Salaam


🏡✨ PLOT NZURI INAUZWA ✨🏡
📍 Madale – Kwa Kawawa
📄 Title Deed ipo
🚗 Umbali kutoka lami: Mita 20
🛣Plot ya pili toka lami
🌳 Mtaa mzuri sana, salama na tulivu
Tunazo plots mbili:
1️⃣ 📏 695 sqm – 💵 Milioni 90
2️⃣ 📏 637 sqm – 💵 Milioni 85
Ukitaka plot zote mbili upate moja kubwa sawa pia
Inakuwa sqm 1332 bei itakuwa Milioni 175
🗣Ila maongezi yatakuwepo pia
💰 Service Charge: 50,000 TZS (inatumika hadi utakapopata plot yako
📞 Wasiliana nasi sasa:
📱 #0758998074👈
#0689138795whatsapp
---
#plots #viwanjazakuuzwa #madale #nyumbazakuuzwa #viwanja #viwanjaDar #realestateTz #dalali #dalaliSmart #nyumbanaViwanjaTz #investTanzania #viwanjaMadale #plotsMadale