Viwanja vinauzwa Kimbiji, Dar Es Salaam


Mabosi zangu eeee,tumewaletea beach plot nzuri kabisa na kwa bei ya kitanzania kabisa ๐ฏ๐ฏ
Viwanja hivi vinapatika kimbiji yani kama paradiso vile๐ฅ๐
Viwanja vinapatikana KIMBIJI
-Bei ya sqm 1 ni Tsh.28,000 tu
-ukubwa wa viwanja unaanzia sqm 431 Hadi sqm 1050
-Malipo ya cash punguzo la 10%
Malipo ya instalment (kidogo kidogo), Malipo ni miezi 18
-Utalipia 25% kwa mwezi wa kwanza (1) kisha miezi inayofuata utalipia kidogo kidogo
-Mradi upo km 2.5 tu kutoka barabara kuu na ni Mita 130 tu kutoka usawa wa bahari
Tupigie No. โ๏ธ 0 699 543 621
Ofisi zetu zinapatikana Mwananyamala