Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Chamazi Mikumi, Dar Es Salaam

Sh. 79,000,000

Maelezo

🏡 NYUMBA KALI YA KISASA INAUZWA – MILIONI 79 TU!

📍 Mahali: Chamazi Mikumi
🛣️ Dakika 1 tu kutoka barabara kuu ya lami.

Muundo wa nyumba:
✅ Vyumba 3 vya kulala
✅ Master Bedroom 2
✅ Sitting Room
✅ Dining Room
✅ Jiko la kisasa
✅ Store
✅ Kisima cha maji
✅ Full AC
✅ Fensi ya waya wa umeme

🔥 Bei ni Milioni 79 tu!

Mwenye nyumba amevurugwa kifedha, hivyo hii ni nafasi nzuri kwa mnunuzi makini. Wahi kufika site ukague nyumba kabla haijachukuliwa.

📞 Kwa maelekezo zaidi, piga simu au WhatsApp: 0683 665504

Matangazo mengine Chamazi, Dar Es Salaam