Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kivule, Dar Es Salaam (480 sqm)

video thumbnail
Sh. 62,000,000

Maelezo

Haya wahi tuwahi....naiuza hii bei poaaa

Milion 62 tu

Nyumba inauzwa kati ya Kivule na msongola wilaya ya ilala Dar

Ina Vyumba v3 viwili master, sebule
Jiko, bafu na choo

Ipo karib sana na stand ya daladala (unatembea tu)

Nyaraka ya serikali ya mtaa
Eneo sqm 480 (Makadirio)
Gari moja had mjini

Service charge 50k

Whatsap au piga 0784919453
.
.
.
.
.
.
...
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#business #home #houseforsale #regrann #plot