Tafuta

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam (1800 sqm)

 media -1
media -1
$ 1,200,000

Maelezo

NYUMBA YA KIFAHARI INAUZWA MBEZI BEACH πŸ—Ίβœ¨

Inatafuta mmiliki mpya! Hili ni ghorofa la kisasa na la kipekee lililopo kwenye moja ya maeneo ya hadhi ya juu kabisa Mbezi Beach, jirani kabisa na Ramada Hotel. Nyumba hii inatoa mchanganyiko wa kipekee wa usalama, utulivu, na muonekano mzuri wa bahari.

Sifa za Jengo:

πŸ“ Ukubwa wa Kiwanja: Sqm 1800 (Eneo pana sana)

πŸ“‘ Unyaraka: Inamilikiwa kwa Hati Miliki (Clean Title Deed)

πŸ› Vyumba: Vyumba 5 vya kulala (kati ya hivyo, 4 ni masta)

πŸ›‹ Sebule: Sebule 2 kubwa na za kisasa zenye mwanga mzuri wa asili

🏠 Boycott (Bycotta): Ipo kwa ajili ya watumishi au wageni

πŸŠβ€β™‚οΈ Swimming Pool: Bwawa safi na kubwa la kuogelea

🌊 Location: Dakika chache kutoka ufukweni, yenye view nzuri ya bahari

πŸ’° Bei: USD 1,2 (Dola Milioni 1,2)
Kama unatafuta makazi bora yenye viwango vya kimataifa kwa ajili ya familia yako au uwekezaji, hii ndio fursa yenyewe.

πŸ“ž Wasiliana nasi sasa kwa maelezo zaidi na kufanya booking ya kuitembelea:

O749247010

Matangazo yanayofanana Mbezi, Dar Es Salaam

Nyumba inauzwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam (4303 sqm)

$ 1,800,000

For Sale4,303 sqmhouse
  • Hati

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi Mwisho, Dar Es Salaam (500 sqm)

Sh. 65,000,000

For Sale3 beds500 sqmhouse
  • Maji

  • Umeme

  • Sebule

Nyumba ya vyumba 6 inauzwa Mbezi Beach Sala Sala, Dar Es Salaam (1800 sqm)

Sh. 1,000,000,000

For Sale6 beds1,800 sqmhouse
  • Hati

  • Swimming Pool

  • Uwanja wa Watoto

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi Mwisho, Dar Es Salaam (500 sqm)

Sh. 65,000,000

For Sale3 beds500 sqmhouse
  • Maji

  • Umeme

  • Jiko

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi Beach Makonde, Dar Es Salaam (925 sqm)

Sh. 400,000,000

For Sale3 beds925 sqmhouse
  • Chumba cha Msaidizi

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam (847 sqm)

Sh. 350,000,000

For Sale4 beds847 sqmhouse
  • Hati

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi Beach Makonde, Dar Es Salaam (925 sqm)

Sh. 400,000,000

For Sale3 beds925 sqmhouse
  • Chumba cha Msaidizi

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam (847 sqm)

Sh. 350,000,000

For Sale4 beds847 sqmhouse
  • Hati

Nyumba inauzwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 200,000,000

For Sale400 sqmhouse
    Nyumba inauzwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam (3500 sqm)

    $ 1,700,000

    For Sale3,500 sqmhouse
    • Hati

    Nyumba inauzwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam (3500 sqm)

    $ 1,700,000

    For Sale3,500 sqmhouse
    • Hati