Tafuta

Nyumba ya vyumba 6 inauzwa Mbezi Kwa Msuguri, Dar Es Salaam (1000 sqm)

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
media -7
media -8
Sh. 250,000,000

Maelezo

FOR SALE 250,000,000/= ๐Ÿ’ฅJUMBA LA KISASA KUBWA

BANGALOO KUBWA ZURI LENYE HATI MILIKI LINAUZWA 250 000,000/= MILION MAONGEZI YAPO

๐Ÿ’ฅ NYUMBA HII KUBWA LA KISASA LINA SIFA ZIFUATAZO

# VYUMBA 6 VYA KULALA KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM KUBWA

#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET ZIPO MBILI YAANI JUU GORAFANI NA CHINI PIA
STORE ZIPO 2
MAKABATI YA NGUO VYUMBANI

NYUMBA HII INA HATI MILIKI

UKUBWA WA ENEO NI:- SQUARE METER 1000

BEI YA KUUZWA NYUMBA HII NI SHILINGI MILIONI 250M MAONGEZI YAPO

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ NYUMBA HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BODABODA SH ELFU 1 TUU HADI KWENYE NYUMBA

NYUMBA HII KWA SASA INAMPANGAJI NDANI ANALIPA KODI SHILINGI LAKI 8 (800,000/= TSH) KWA MWEZI

๐Ÿ’ฅ KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 30

0713 320 608
0686 334 182

Matangazo mengine Mbezi, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam (950 sqm)

Sh. 1,200,000,000

For Sale4 beds4 baths950 sqmhouse
Nyumba inauzwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam (1433 sqm)

Sh. 770,000,000

For Sale1,433 sqmhouse
Nyumba ya vyumba 6 inauzwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam (1200 sqm)

Sh. 1,700,000,000

For Sale6 beds1,200 sqmhouse
Nyumba ya vyumba 6 inauzwa Mbezi Kwa Msuguri, Dar Es Salaam (1000 sqm)

Sh. 250,000,000

For Sale6 beds2 baths1,000 sqmhouse
Nyumba ya vyumba 6 inauzwa Mbezi Kwa Msuguri, Dar Es Salaam (1000 sqm)

Sh. 250,000,000

For Sale6 beds2 baths1,000 sqmhouse