Tafuta

Viwanja vinauzwa Kigamboni Fani City, Dar Es Salaam sqm 700

video thumbnail
Sh. 35,000,000

Ukubwa

700 SQM

Barabara ya Karibu

300m

Huduma na Sifa

Maji
Umeme
Karibu na Barabara ya Lami

Maelezo

🏡 VIWANJA VINAUZWA – KIGAMBONI FANI CITY

Fursa ya kipekee kwa makazi na uwekezaji katika eneo linalokua kwa kasi!

📍 Kiwanja cha Kwanza: SQM 700 – TSh Milioni 35
📍 Kiwanja cha Pili: SQM 750 – TSh Milioni 35

🔥 Ukinunua viwanja vyote viwili kwa pamoja, utalipia TSh Milioni 65 tu!

📍 Mahali: Kigamboni Fani City
✅ Mita 300 kutoka barabara kuu ya lami
✅ Kilomita 12 kutoka Ferry
✅ Kilomita 10 kutoka Daraja la Nyerere

Viwanja hivi vinafaa kwa:
🏢 Kujenga apartmenti za kupangisha
🏠 Kujenga nyumba ya makazi
🏘️ Miradi mbalimbali ya uwekezaji

✔️ Huduma zote muhimu za kijamii zinapatikana, ikiwemo maji na umeme.
✔️ Mazingira ni mazuri, salama na yanaendelea kwa kasi.

📞 0769554221
📍Service Charge 30,000
#trendingvideo #istagram #realestateagent #realestateforsale #tanzania