Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 5, 6
SIFA ZAKE
==========
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO NA JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI
IPO KIMRA KOROGWE
UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KM 1.5 USAFIRI MWINGI
BAJAJI 500 DALADALA
ZA KALIAKOO ZIPO
UKISHUKA TU DK2 UPO NDANI
UMEME MITA YAKO
MAJI MITA YAKO
JIKO LINA MAKABATI
MAJI YANA TILILIKA CHOON JIKON
HII NYUMBA BRBR YAKE NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI
O677370515
SERVICE CHARGE 20,000
PESA YA DALALI MWEZI MMOJA